• Isikupite Hii

    August 19, 2015

    MUSIC VIDEO: AFADHALI YESU - SIZE 8.

             

    Size 8 Kutoka (254) Kenya ameachia video mpya inayokwenda kwa jina la AFADHALI YESU.Huu ni wimbo unao onyesha jinsi gani mwanadamu akimtegemea Mungu kwenye maisha yake Mungu kamwe hata muacha.