• Isikupite Hii

    August 23, 2015

    THROWBACK: USHIRIKA NA WEWE - CHRISTINA SHUSHO.

             

    Unaukumbuka wimbo huu "Ushirika Na Wewe" toka kwa mwanadada Christina shusho. Wimbo Huu Ni Moja Kati Ya Nyimbo Zilizofanya Na Bado Inaendelea Kufanya Vizuri Zaidi Katika Ramani Ya Muziki Wa Injili Hapa Tanzania.