• Isikupite Hii

    September 9, 2015

    ASKOFU GWAJIMA AMJIBU DK. SLAA. (VIDEO)


    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima, Amesimama na kujibu tuhuma dhidi yake na maaskofu wa Kanisa Katoliki zilizotolewa siku chache zilizopita na mwanasiasa mkongwe na maarafu Dk. Slaa.