• Isikupite Hii

    September 9, 2015

    NEWS: TAZAMA PICHA 10 ZA IBADA YA KWANZA ZA KANISA LA GWAJIMA BAADA YA KULEJEA UBUNGO.


    Baada ya kutumia viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam kwa zaidi ya miaka minne, jumapili iliyopita waumini wa kanisa hilo wakiongozwa na mwanzilishi wa huduma hiyo Askofu Josephat Gwajima, walirejea katika kanisa lao la zamani lililopo Ubungo jijini Dar es salaam. Angalia baadhi ya picha kuona ibada ilivyokwenda.