September 8, 2015

EXCLUSIVE: VOCAL COACHING WITH ANGEL BENARD STARTING 10TH SEPT.


Wakati wako ni huu na fursa ndo hii, Angel Benard atakuwa katika mji wako akifanya special vocal training tafadhali usikose wala kuichezea fursa hii. 

Darasa Linaanza Rasmi Sept 10 Kwa wale ambao bado, hawajajiandikisha kwenye darasa hilo unshauri ufanye hivyo kwani tarehe 8 ndio Usaili Unafungwa. 

NOTE: Kampuni Ya Doxa Music itakuwa na surprise kwa mwanafunzi atakae fanya vizuri katika darasa la sauti.

Kwa Maelezo Zaidi Piga namba Zilizopo Kwenye Tangazo.