October 14, 2015

VIDEO: CHATU AKIMMEZA MAMBA, TUKIO ZIMA LIKO HAPA AISEE.


Kama hukupata nafasi ya kushuhudia tukio la mwaka mara baada ya chatu kummeza mamba, basi katika kuhakikisha yakuwa nakamilisha kila jambo ulipendalo na kwa urahisi zaidi ewe wangu msomaji. Natumia nafasi hii kukushuhudisha tukio zima.