October 5, 2015

NEWS: ASKOFU GWAJIMA AMUONYA ABDALAH BULEMBO NA CCM WAACHE KUMCHOKOZA MARA MOJA.


Askofu Gwajima amemsisitizia Bulembo kuwa aache kwani akirudia atamlazimisha awalipue na wale waliomtuma kitu ambacho sio kizuri kwani kitasababisha nchi itikisike na macho yao yatoke moshi wasiamini. 

Askofu Gwajima aliwaomba watu wa ccm waliohudhuria ibada yake wampelekee ujumbe huu kumtaka asirudie tena na wao wanaomtuma kumchokoza waache mara moja kwa faida yao kwani wakiendelea watamlazimisha awajibu kwenye madhabahu kitu ambacho sio kizuri kwani kitawasababishia matatizo wao na chama chao, Askofu Gwajima amesema kuwa anayo helkopta na anaweza kupanda na kuwafuata hukohuko walipo.

unaweza kumsikiliza hapa