Featured Posts

October 20, 2015

Sms za mapenzi.

Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda?
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni
mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa
nakupenda, niamini mpenzi
   *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni
siri ya maisha matamu
     nakupenda mpenzi
*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

"Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda
kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe"
nakupenda laazizi
"Kama mimi nilikuwa na maua  kila wakati
mawazo yangu
yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla
yako je wewe ungekuwepo nayo
 ungempa nani kwanza? "
*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*

Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na
likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. neno hilo
haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu
Linatokea Bila kujua na halina sababu.neno hilo mi
mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo
Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear
      •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua
nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu
ili kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako
mpenzi.nakupenda sana laazizi      
      •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi
yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia
moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
       •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

mapenzi si pombe  lkn yanalewesha, wala si kidonda  lakini
yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala  si
njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa
unaempenda
      •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni
maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni
kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe
maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu
       •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda
pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu
wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.
      •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

nimetuma ndege wangu auzunguke ''moyo'' wako kwa '' upendo
''  auguse ''uso'' wako kwa ''faraja'' na mwisho
akunong'oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.
        •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni
zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza
kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo
wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana
      •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi
haiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatane
badaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo siku
wakigombana wataachana.
     •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani
nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa
yakini.
     •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•