October 5, 2015

JUA-ZAIDI: JE UNAJUA KUNA VIFUNGU VINGAPI KTK BIBLIA VINAVYOSEMA JUU YA UBATIZO?


Utafiti uliofanya na wasomi mbali mbali wa theology duniani, unaonesha kwamba katika biblia yote kuna "vifungu 40" vinavyosema juu ya "UBATIZO". Unataka kujua zaidi? Hakikisha unatembelea blog hii kila siku.