November 17, 2015

BALTAZARY PAUL A.K.A 'MOREFIRE' WA YESU OKOA MITAA KUFUNGA NDOA J'PILI HII.


Baada ya Rungu La Yesu kufunga ndoa sasa rapper wengine toka Yesu Okoa Mitaa (Y.M.O) Mr. Baltazary Paul a.k.a Morefire ambae ni Mkuu wa kitengo cha media katika (Movement) kikundi hicho cha Yesu Okoa Mitaa, anatarajia kufunga ndoa jumapili ya tarehe 22 novemba mwaka huu na Bi. Adel John katika kanisa la River Of Healing Kibamba.