November 10, 2015

BARNABA 'NAMWAMINI MUNGU, BIBLIA NA MAOMBI TU. USHIRIKINA NOO..'

Barnaba, moja kati wasanii wakubwa wa muziki Bongo fleva amefunguka na kueleza ni jinsi gani alivyojengeka kiimani katika kumwabudu Mungu. 

"Mimi ni mtu ambaye naishi kwa Mungu, namwamini Mungu..! hata ukiangalia studio yangu Biblia imetawala na misalaba sababu namwamini Mungu, siamini kwenye ushirikina hata kidogo, wanaoamini ushirikina waache waendelee kuamini ila mimi naamini dua na kutembea na Mungu ni ushirikina tosha, huna hata ya ushirikina mwingine" Barnaba aliyasema hayo katika interview yake na mmoja wa maripota wa millardayo.com

By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.