November 14, 2015

NIMEKUSOGEZEA PICHA 6 ZA PASTOR MITIMINGI AKIFANYA MAZOEZI GYM.

Pastor Peter Mitimingi akiwa Gym.


"Mazoezi yanalipa japo ni machungu lakini ni matamu, ni matamu lakini ni machungu, Afya ndio usafiri unaoutegemea kukupeleka kule unakokwenda katika safari yako ya Maisha" Alisema Pastor Mitimingi kupitia ukurasa wake wa facebook.

Aliendelea na kusema "Sio kwenda Gym tu siku nyingine narudi home kwa mguu namtuma driver anakwenda na gari mimi natembea kwa mguu Mwenge mpaka maeneo ya White Sands Mbezi Beach"