• Isikupite Hii

    November 30, 2015

    VIDEO: MANOLO - TRIP LEE FT LECRAE.    Nimekusogezea video nyingine kali zaidi toka kwa mmoja wa Gospel rapaz wakali zaidi U.S.A, "Trip Lee" akiwa na "Lecrae" inaitwa "Manolo". Manolo ni neno (jina) la kiispania linalomaanisha "Emmanuel" yani mungu pamoja nasi. Enjoy.