• Isikupite Hii

    November 26, 2015

    ZIARA YA PAPA FRANCIS KENYA. (+PICHA)


    Papa Francis wa kanisa katoliki duniani ameanza ziara yake katika nchi za Afrika na leo (jana) alikuwa Kenya.

    Papa Francis alilakiwa na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege uliopo Nairobi na kuwashukuru Wakenya kwa kumkaribisha vizuri huku akiwatakiwa baraka tele za Mwenyezi Mungu.
    Nchi nyingine za Afrika ambazo Papa Francis atatembelea ni pamoja na Uganda pamoja na Jamuhuri ya Afrika ya Kati.