Featured Posts

November 13, 2015

NEWS: EMMANUEL TV YA TB JOSHUA SASA NDANI YA DSTV NA GOTV.


Emmanuel Tv inayomilikiwa na kanisa la SCOAN lililopo nchini Nigeria likiwa chini ya Nabii TB JOSHUA itaanza kurusha matangazo yake kupitia ving'amuzi vya DSTV na GOTV kuanzia Alhamisi ya Novemba 19, huku kwa DSTV itakuwa channel 390 na channel 82 kwenye Gotv. Taarifa hizi ni rasmi kutoka kwenye ukarasa rasmi wa TB Joshua Ministries.

Source: Gospomedia.