November 17, 2015

EXCLUSIVE: DOLAA KUACHIA VIDEO MPYA? LINI? YA WIMBO GANI? SOMA HAPA.


Rasmi toka Arusha, Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya (Gospel Hip Hop)  Douglas Kyunga a.k.a Dolaa, kupitia ukurasa wake wa facebook ametangaza rasmi kwamba tarehe 6 Mwezi wa 12 mwaka huu ataachia video ya wimbo wake "Tusemezane" akiwa na Nelly Music.