December 10, 2015

TIMHEAVEN TV PRESENTS 'THE INTERVIEW' WITH AMANI CHARLES. THIS WEEKEND. DONT MISS.


Weekend hii Tim Heaven Tv inakuletea "THE INTERVIEW" na mgeni wetu ni "Amani Charles".

Amani Charles ni kijana wa kitanzania, Mwimbaji, Mtunzi, Mpiga kinanda, Mwalimu wa kwaya mbali mbali n.k. Usikose kutazama "THE INTERVIEW" weekend hii hapa hapa http://timheaven.blogspot.com

Naamini utajifunza na kujua mengi kutoka kwa Amani Charles. #KwaPamojaTunaweza.

"THE INTERVIEW" Ni kipindi kinacholega Wanamuziki, Wajasiliamali, Vipaji, Vijana na jamii kwa ujumla. Wasiliana nasi kupitia +255 655 043 443.