• Isikupite Hii

    December 18, 2015

    BOMOABOMOA YAENDELEA KINONDONI, DAR ES SALAAM. (+VIDEO)


    Dec 17 2015 kazi ya kuwahamisha wananchi wote waishiyo katika maeneo hatarishi iliendelea kwa kuzibomoa nyumba zote zilizopo mabondeni katika baadhi ya maeneo Dar es salaam ikiwa ni pamoja na bonde la Msimbazi lililopo Kinondoni, tazama hii video ya tukio zima la ubomoaji.    Source: MillardAyo