December 14, 2015

D.M.Y KUACHIA NGOMA MPYA HIVI KARIBUNI. TAREHE IKO HAPA.


D.M.Y ni mmoja kati ya wasanii chipukizi na hatari wanaoibeba hatima ya muziki wa hip hop (Gospel) hapa bongo, Sio katika uandishi (Ujumbe) tu, bali hata katika flow na swag zake.

Juzi nilipata nafasi ya kuzungumza na D.M.Y kuhusu muziki anaoufanya na akanidokeza kwamba Tarehe 1/01/2016 ataachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina la "Mwema".

Download wimbo wa mwisho toka kwa D.M.Y na Team yake nzima hapa.