December 23, 2015

UNAJUA NI KWANINI RWANDA INAMKUBALI RAIS PAUL KAGAME? SABABU ZIKO HAPA. (+VIDEO)


Rwanda ni nchi ambayo ina watu zaidi ya milioni kumi ambapo moja kati ya sababu zilizofanya Rwanda wamkubali zaidi na hata kumpa kura nyingi za ndio kwenye mchakato wa kubadili utaratibu wa Rais kugombea Mihula zaidi ya miwili.

Rais Kagame aliwahi kugawa Ng’ombe kwa Wananchi mbalimbali ili wajikwamue kwenye umasikini, bonyeza play hapa chini kuzipata sababu nyingine.