December 18, 2015

LECRAE 'CHRISTIAN RAPPER' ATAJWA KTK 'POWER 100' YA WAMAREKANI WEUSI MWENYE USHAWISHI ZAIDI. NA EBONY MAGAZINE.


Gazeti la Ebony limetaja list "Power 100" ya wamarekani weusi mwenye ushawishi mkubwa zaidi (Mwaka 2015), mwezi huu.

Lecrae ni moja ya wasanii waliotajwa katika list hiyo "Power 100" licha ya kwamba ajatoa wimbo wowote mwaka huu, wasanii wengine walioingia katika list hiyo ni Kendrick Lamar, J. Cole, Drake, Prince, Janet Jackson, John Legend, Janelle MonĂ¡e, D'Angelo, Jidenna, Zendaya na Jaden pamoja na Willow Smith. 

Christian Rapper 'Lecrae' amekuwa akimake headlines mbalimbali katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari duniani na album yake ya "Anomaly"  aliyoiachia mwaka jana.