December 27, 2015

PICHA 3 ZA MH. LOWASSA AKICHUNGA NGO'MBE, NA MANENO ALIYOYASEMA. (SOMA HAPA)


Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng’ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini.
"Ndugu zangu, naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi kuu aliyotukirimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira popote alipo" Alisema Mh. Lowassa.


By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.