December 25, 2015

MUSIC: GELAX WA KRISTO ANAKULETEA HII 'PAH 1 NASI'. #MERRYCHRISTMAS.


Download wimbo mpya "Pah 1 Nasi" kutoka kwa Gelax Wa Kristo. 


" 'Pah 1 Nasi'yaani 'Emanuel' ni mahususi kabisa kwa ajili ya christmass kama ujio wa yesu kristo ambaye yeye ni Neno aliuvaa mwili na sasa anakaa kwetu, kwa sababu hiyo wakristo dunia nzima tunahadhimisha nakusherehekea siku ya kuja kwake bwana yesu, kupitia  nyimbo hii imeelezea ni namna gan utaishi naye, utaweza kuendana naye na yeye jinsi alivyo." Alisema Gelax.
By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.