December 28, 2015

DOWNLOAD MUSIC: TUPENDANE - WILLY PAUL.

"Tupendane" ni wimbo mpya wa mwanamuziki kutoka kenya "WILLY PAUL", ameachia wimbo huu ili kuwatakia heri ya krismass na mwaka mpya mashabiki wake na wasanii wenzake wa muziki wa gospo nchini kenya na east afrika kwa ujumla.

By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.