January 23, 2016

MUSIC VIDEO: AWESOME GOD - LECRAE, DA' TRUTH & CANTON JONES.

Nimekusogezea video (Live Performance) ya hawa mastar watatu Lecrae, Da Thruth na Canton Jones,  ni copy (remix) nyingine ya "Awesome God", kuna mchanganyiko wa ladha ndani hapa hadi Rap. Enjoy! 
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.