January 13, 2016

WACHEKESHAJI NI WENGI LAKINI CHARLIE CHAPLIN NI KIBOKO YAO. (+VIDEO)


Wachekeshaji ni wengi na wanafanya kazi nzuri lakini Charlie Chaplin ni kiboko yao. Tusiandikie mate wakati wino upo, Tazama moja ya videos zake hapa chini.By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.