January 18, 2016

MUSIC VIDEO: FREEDOM - LACRAE FT N'DAMBI.

Baada ya kuachia mixtape yake inayokwenda kwa jina "Church Clothes 3" kwa suprise jioni ya tarehe 16/1/2016, Leo tena Lecrae ameachia video ya wimbo wake wa kwanza katika mixtape iyo ya "Church Clothes 3". Inaitwa "Freedom" akiwa na N'Dambi. Enjoy!
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.