• Isikupite Hii

  January 11, 2016

  'EL CHAPO' MUUZA MADAWA MAARUFU DUNIANI AKAMATWA TENA.


  Muuza Madawa ya Kulevya maarufu duniani, Joaquin “El Chapo” Guzman amekamatwa tena baada ya kutoroka gerezani Julai mwaka jana.

  Serikali ya Mexico imetangaza kuwa imefanikiwa kumnasa baada ya kutumia askari maalumu, Guzman ni Bilionea wa madawa ya kulevya ambaye ameshaua watu wengi na ni tishio kubwa kwa yeyote anayefuatilia nyendo zake.

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.