Featured Posts

January 14, 2016

REACH RECORDS YAONGEZA MSANII MWINGINE KWENYE LIST.


Kwa mara ya kwanza tangu 2011, Reach Reachords wametangaza kumwongeza (kumsaini) "Gawvi" kwenye list ya wasanii wao. 

Gawvi ataungana na kina Lecrae, Tedashii, Trip Lee, Andy Mineo pamoja na Kb.

Kabla ya kusainiwa kama msanii (Rapper), Gawvi alikuwa ni moja kati ya maproducer waliokuwa wanafanya kazi katika record lebel hiyo ya Reach Records. Gawvi ataachia album yake ya kwanza mwaka huu.


Gawvi

“I'm excited to share this new music with the world, My first solo album is going to be like nothing we've ever released under the Reach imprint. We're about to really surprise people.” Alisema Gawvi.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.