January 18, 2016

DOWNLOAD WIMBO: NARUDI - ROBBISON MAZIGO.Robbison Mazigo ni mwamuziki wa injili kutoka Tanzania ambaye ameanza kumwimbia Mungu miaka mingi iliyopita lakini mwishoni mwa mwaka 2015 amefanikisha kurekodi singo yake ya kwanza "Narudi" (Download apo juu).

Robbison Mazigo yupo tayari kwa mialiko mbalimbali +255 752 148 036.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.