• Isikupite Hii

  January 11, 2016

  DOWNLOAD WIMBO: NIMEBARIKIWA - SHWARI KUU VJ.


  Baada ya ukimya wa mda mrefu, hivi ndivyo Shwari Kuu Vj alivyounza mwaka mpya (2016) katika safari yake ya muziki. Pakua Single yake mpya hapa "Nimebarikiwa".  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.