Featured Posts

January 15, 2016

DOWNLOAD WIMBO: OMBI LANGU - GASSYMC FT RUNGU LA YESU & ANGER.


Gassymc ni mwanamuziki wa Gospel HipHop ambaye yupo muda mrefu katika tasnia ya muziki wa injili tanzania na ameshafanya kazi kadhaa kama vile "Mwanadamu, makanisani, Mungu Hatukuacha N.k".

 "Kwa sasa nafikiria kuendelea na huduma ya uimbaji wa muziki wa injili kwa mtindo wa HipHop na sasa anakuja na album yake mpya itakayotambulika kwa jina la "MWANADAMU" itakayokuwa na nyimbo kumi na moja kati ya nyimbo itakayokuwa ndani ya album hiyo ni pamoja na hii inayokwenda kwa jina la "OMBI LANGU" ambayo ameitoa kwa madhumuni ya kuwatia moyo wale wote waliokata tamaa kwa kuwasisitiza kuwa Mungu hajawaacha ila kila mtu atajibiwa kwa wakati"

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.