February 25, 2016

Download wimbo mpya: U mwema - Angel Benard.

Mabibi na mabwana, Mwanadada Angel Benard ametusogezea wimbo mpya U Mwema kutoka kwenye album mpya inayokwenda kwa jina la NEW DAY AMPLIFIED.