February 8, 2016

CHRISTINA SHUSHO NA MIREILLE BASIRWA KUACHIA WIMBO MPYA.

Wakali wa muziki wa injili, Bi. Christina Shusho na Mireille Basirwa wa (Belgium) wamekutana kenya kwa ajili ya kutengeneza wimbo mpya kwenye studio za Produce Timothy Boikwa. Kwa sasa wako Location wakifanya Video ya Kolabo hiyo na Director Tiger.

Tazama picha za utengenezaji wa video hiyo hapo chini.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.