February 4, 2016

MUSIC VIDEO: HALLELUJAH ALL DAY - DATIN.

Datin ameachia video mpya 'Hallelujah All Day' toka katika album yake mpya, ya kwanza iitwayo 'The Roar' baada ya kusainiwa katika record lebel ya God Over Money. Anatarajia kuiachia album hiyo Feb 12.

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.