February 29, 2016

Download wimbo: Acha Waambiane - Goodluck Gozbert.

Hello mabibi na mabwana! Leo ni siku nyingine tena nasi tunayofuraha kukuletea wimbo mpya kabisa toka kwa Goodluck Gozbert maarufu kama Lollipo, wimbo unaitwa - Acha Waambiane. Enjoy mtu wa Mungu.