February 26, 2016

New music video: Be like Jesus - Deitrick Haddon.

Habari! Karibu timheaven.com, Leo tumepata fursa ya kukusogezea video mpya kabisa toka kwa mmoja kati wa mastar wa muziki wa injili nchini Marekani Mr Deitrick Haddon, kichupa hicho kinakwenda kwa jina la Be like Jesus. Enjoy mtu wa Mungu.