February 24, 2016

MUSIC: MASTERPIECE - DEITRICK HADDON.

Mwanamuziki wa Injili anayetamba nchini Marekani Deitrick Haddon ameachilia wimbo wa "Master Piece" wadadisi wa mambo wameeleza kuwa wimbo huo una uhusiano mkubwa wa kile kinachoendelea kwa sasa katika maisha yake na maisha pia ya ndoa yake.

Mwanamuziki huyo ambaye pia ni Producer amenukuliwa na vyombo vya habari nchini marekani akisema "“I’m very clear on my past and I’m clear on where I am going in the future. I cannot afford but to walk in my truth. I was born in the church and groomed for the world and this generation.”

Wimbo huo wenye mahadhi mchanganyiko ya hip hop, R&B and Regge umeachiliwa rasmi November 6, 2015.