February 19, 2016

Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015/2016. (tazama hapa)

Baraza la mitiani Tanzania NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015, ambapo ufaulu unaelezwa kushuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015.

Matokeo yote unaweza kuyatazama hapa.