February 12, 2016

WIMBO MPYA: MAVUNO - CHRISTINA SHUSHO & MIREILLE BASIRWA.

Mkali wa muziki wa injili hapa Tanzania, mwanadada Christina Shusho amekuletea video Mpya inaitwa "MAVUNO", akishirikiana na Mireille Basirwa, imeandaliwa  Director Tiger kutoka +254 Enjoy! 
By Chief Hope

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.