February 3, 2016

Music video: Mwema - Mercy Masika.

Tazama video mpya toka kwa mwanadada Mercy Masika all the way from Nairobi, Kenya, wimbo unaitwa Mwema, huku mtunzi wa wimbo huo akiwa ni Mr.Vee. Mercy Masika ni mmoja kati ya waimbaji wakike wanaofanya vizuri sana katika industry ya Gospel music kwa East Africa.