• Isikupite Hii

  March 3, 2016

  EXCLUSIVE: DVD MPYA YA ANGEL BENARD KUPATIKANA SOKONI 09-03-2016.

  Kuanzia tarehe 9.03.2016, DVD mpya ya Angel Bernad iitwayo "New Day Amplified Album" itaanza kupatikana sokoni.
  Kwa maelezo zaidi piga simu +2557594444 au +255675347786. Barikiwa sana!

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.