• Isikupite Hii

    March 9, 2016

    Beatrice Mwaipaja kuachia album mpya mwezi huu.

    Kupitia page yake ya facebook, Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini mwanadada Beatrice Mwaipaja, ametangaza kwamba tarehe 13 March atakuwa akiachia album yake ya pili "Mungu Umenihurumia". 

    3 days left... Nyimbo ya ufunguzi wa Album yangu ya Pili kwenu. Naamini mtaipenda na itawabariki kwa uwezo wa ajabu. #Stay blessed
    Posted by Beatrice Mwaipaja on Tuesday, March 8, 2016