March 9, 2016

Picha 15 za harusi ya mwanadada Beatrice Mwaipaja.

Leo tumepata fursa ya kukusogezea Picha 15 za harusi ya mwimbaji maarufu wa muziki wa injili hapa Tanzania, Mwanadada Beatrice Mwaipaja.