• Isikupite Hii

  March 16, 2016

  MBINU 10 ZA KUKUZA BIASHARA - ABRAHAM ELISHA PALLANGYO.

  Naitwa Abraham Elisha Pallangyo mkazi wa Arusha, Ngarenanyuki. Hizi ni baadhi ya mbinu zinazoweza kutusaidia katika biashara zetu za kila siku. (Katika Kuendea Mafanikio).

  1. Tambua majira ya msimu wa mzunguko mzuri
  2.Uwe mkweli 
  3.kujiamini ni nguzo kuu 
  4.Uwe na kauli kwa wateja wako sio kuropoka
  5. Tambua mapenzi na biashara ni vitu viwili tofauti 
  6.Madharau kwa wateja wako haitakiwi  
  7. Kujiona unafaa kuliko wengine nikosa 
  8. Uwe makini katika kurudisha chenchi 
  9. Hifadhi kumbukumbu za kununulia 
  10.jitaidi kuwa fasta

  By Chief Hope 

  Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
  Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.