• Isikupite Hii

  March 21, 2016

  Chukua tahadhari kama unatumia hizi bulb.

  Tunapenda kupunguza matumizi ya nishati, hizi bulb ambazo ni rafiki wa mazingira na zinazookoa nishati(energy serving bulb) zimekuwa zikitumika zaidi kwa sasa. 

  Ila ni vyema ujue kwamba hizi bulb za kisasa ni kweli zina sumu. Shirika la kulinda Mazingira limetoa maelekezo ya dharura unayohitaji kuyafuata endapo bulb yako itavunjika. Hii ni kutokana na gesi yenye sumu inayotoka endapo bulb itavunjika.


  Taasisi ya Fraunhofer Wilhelm Klauditz ya Ujerumani inadai kuwa kama taa hii itavunjika ndani ya nyumba itatoa mara 20 zaidi ya Mercury katika hewa


  Bulb hizi za kupunguza matumizi ya Nishati zinaweza kukuletea matatizo haya;

  -Kizunguzungu
  -Kifafa
  -Maumivu ya kichwa
  -Uchovu
  -Kutostahimili
  -Wasiwasi

  Bofya hapa uendelea kusoma.