March 28, 2016

MTOTO WA MIAKA 5 'HEAVENLY JOY' ACHIA VIDEO MPYA WAR.

Hakuna kitu kinachokuja kiulaini tu, iwe ni amani, furaha, utajiri n.k ni Lazima upambane na uendelee kuilinda Imani. Tazama video mpya "WAR" toka kwa Heavenly Joy mtoto wa miaka 5 ft  Charles Jenkins. Enjoy!  
By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa!
 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.