March 4, 2016

Kijana mwenye vipaji million (+video)

Mambo! Mungu katupatia fursa ya kuiona siku mpya tena, kama ilivyokawaida yetu kuhakikisha kwamba unafikiwa na matukio ama makala ambazo zinatakujenga na kukufanya kuwa mtu bora zaidi. Basi Leo tumefanikiwa kukusogezea video ya kijana huyu mwenye vipaji vya kutosha. Enjoy