March 8, 2016

VIDEO: MATEKE - SIZE 8.

Kabla ya kuanza kuimba nyimbo za injile, size 8 alikuwa akiimba nyimbo za kawaidi. "Mateke" ndio wimbo wa kwanza wa mwanadada Size 8 baada ya kumpokea Yesu. Enjoy!

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 
Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.