March 30, 2016

VIFAA VYA WANA ANGA WA MAREKANI VIMEONA MKONO WA AJABU ANGANI (+VIDEO)

Picha hii ilipigwa wakati nyota iliporipuka angani, alama kama mkono wa ajabu ulionekana na vifaa walivyokuwa wanatumia NASA kuangalia anga za mbali. Nasa waliamua kuupa mkono huo wa ajabu jina "Hand Of God" yani "Mkono Wa Mungu". Kwa sababu hata wataalam hao wa anga wameshindwa kujua ni nini hicho.
Tazama video hapa chini. 

Source: kwetustar.com & techtimes.com

By Chief Hope 

Jiunge Na Tim Heaven Sasa! 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari mbalimbali juu ya muziki, mahusiano, mafanikio afya nk.